Kicao-Lan

Kicao-Lan ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Vietnam inayozungumzwa na Wasan-Chay. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kicao-Lan imehesabiwa kuwa watu 169,000. Pia kuna wasemaji nchini Uchina. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kicao-Lan iko katika kundi la Kitai ya Kati.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search